Mix

Picha 10 za Mjengo mpya wa Alicia Keys na mumewe Swizz beatz ‘Razor House’

on

Ni wakongwe wawili kutokea kwenye muziki wa Marekani, Alicia Keys na mumewe Swizz beatz ambapo headlines zao zimerudi tena baada ya kuhamia rasmi kwenye jumba lao la kifahari lenye thamani ya Dolla Milion 20 za kimarekani.

Siku za hivi karibuni Swizz beatz kupitia ukurasa wake wa instagram alipost clip ikimuonesha rapper Jay Z ambae alimualika kwenye jumba hilo jipya kusheherekea siku yake ya kuzaliwa.

Swizz Beatz ametimiza miaka 41 huku Alicia Keys akiwa na miaka 38, hapa chini mtu wangu nimekusogezea picha kumi za muonekano wa mjengo wao mpya uliopewa jina la Razor House uliopo Los Angeles nchini Marekani.

.

.

.

.

.

.

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments