Habari za Mastaa

Baada ya NavyKenzo, Patoranking ametangaza collabo na Diamond Platnumz

By

on

Staa wa muziki kutoka Nigeria Patoranking, ambaye ni mkali wa hits nyingi aliyeweza  kujipatia mashabiki wengi ndani na nje ya bara la Africa ametumia ukurasa wake wa Instagram kuandika kuwa tutarajie collabo yake na Diamond Platnumz.

Wait for it…2 More videos “This Kind Luv ft Wizkid” ” Halle Halle” Drops next from #GOETheAlbum #Skylevel

A post shared by Patoranking (@patorankingfire) on

Diamond Platnumz atakuwa msanii wa pili kutoka Tanzania kufanya naye collabo wa kwanza wakiwa kundi la NavyKenzo.

Video:Wema Sepetu alitaka kuimba wimbo mzima kwenye Play Boy -Haitham>>>

Soma na hizi

Tupia Comments