Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Rapa Snoop Dogg azindua lebo yake mpya ya kahawa “INDOxyz”
Share
Notification Show More
Latest News
Kamati Kuu ya CCM yachukizwa na hili, ‘Watumishi wa Umma wasiokuwa waadilifu wachukuliwe hatua’
April 1, 2023
Waziri Mkuu afunguka, ‘Dar, Kilimanjaro yaongoza kwa Viribatumbo’
April 1, 2023
Mfugaji aishukuru kampuni ya Asas, ‘Nasomesha wanangu, Asas ni msaada mkubwa kwetu’
April 1, 2023
Video: RC Shigella atoa tamkoa kufuatia Wananchi kuchoma kituo cha Polisi
April 1, 2023
Machinga wa Tegeta wafunguka ‘Usafi ni tatizo sokoni, tumepokea vifaa vya Milioni 5’
April 1, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Entertainment > Rapa Snoop Dogg azindua lebo yake mpya ya kahawa “INDOxyz”
Entertainment

Rapa Snoop Dogg azindua lebo yake mpya ya kahawa “INDOxyz”

March 17, 2023
Share
1 Min Read
SHARE

Rapa na mjasiriamali Snoop Dogg ameamua kupanua  himaya yake ya biashara tena, wakati huu akijikita katika safu ya bidhaa bora za kahawa na maharagwe yanayopatikana nchini Indonesia.

Ameshirikiana na mjasiriamali wa kahawa wa Kiindonesia Michael Riady kuzindua INDOxyz.   

“biashara hii ni ya kiwango cha juu kwani ni kahawa  iliyoundwa kwa ajili ya kizazi kijacho cha wajasiriamali na wavumbuzi,” kulingana na taarifa kwa vyombo vya habari iliyotumwa kwa CNN.

Snoop Dogg, ambaye jina lake halisi ni Calvin Broadus, alisema

“Uhusiano wangu na kahawa unarudi nyuma kabisa, maranyingi upo katika studio ukifanya hit baada ya kuchoka basi kahawa ilitoa motisha ambayo ilitufanya tuendelee baada ya kuitumia”

“Leo tunaadhimisha uzinduzi wa kampuni mpya niliyounda pamoja na mshirika wangu Michael, ambaye alinitambulisha kwenye soko la kahawa ya Kiindonesia yenye ladha nzuri zaidi,” alisema.

Snoop aliongeza: “Indo itabadilisha tasnia, ninaweza kukuahidi hilo,” akimaanisha chapa /label yake ya kahawa, ambayo pia ni kifupi cha kawaida cha Indonesia Nchi ambayo ni mzalishaji mkuu wa kahawa duniani.

pamoja na kutoa zaidi ya albamu kumi na mbili za studio na kupokea tuzo kadhaa za Grammy kama rapa, Snoop Dogg amekuwa akipanua himaya yake ya biashara.

Mnamo 2020, alizindua lebo yake ya mvinyo.

You Might Also Like

PEW:Nusu ya Wamarekani wanaunga mkono marufuku ya serikali, katazo la matumizi ya mtandao wa Tik Tok.

13 wauawa kwa kupigwa risasi wakati wakisubiri msaada wa chakula ,huko Karachi nchini Pakistan.

Tunis:Mamlaka ya maji imetangaza vikwazo usambazaji na matumizi ya maji ya kunywa katika nchi juu ya ongezeko la ukame.

WHO: Zaidi ya watu milioni 1 wameathirika na majanga kikiwemo kipindupindu Msumbiji.

WFP yapunguza mgao wa chakula kwa wakimbizi wa Kongo walioko Burundi “Ukosefu wa Fedha”.

TAGGED: TZA HABARI
Editor 2 March 17, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article UNECA: Uchumi wa Afrika kukua kwa asilimia 3.9 mwaka huu.
Next Article Kamati ya kudumu ya Bunge ya nishati na Madini yaridhishwa na kasi ya Maendeleo ya Mradi huu
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Kamati Kuu ya CCM yachukizwa na hili, ‘Watumishi wa Umma wasiokuwa waadilifu wachukuliwe hatua’
Top Stories April 1, 2023
Waziri Mkuu afunguka, ‘Dar, Kilimanjaro yaongoza kwa Viribatumbo’
Top Stories April 1, 2023
Mfugaji aishukuru kampuni ya Asas, ‘Nasomesha wanangu, Asas ni msaada mkubwa kwetu’
Top Stories April 1, 2023
Video: RC Shigella atoa tamkoa kufuatia Wananchi kuchoma kituo cha Polisi
Top Stories April 1, 2023

You Might also Like

Top Stories

Kamati Kuu ya CCM yachukizwa na hili, ‘Watumishi wa Umma wasiokuwa waadilifu wachukuliwe hatua’

April 1, 2023
Top Stories

Waziri Mkuu afunguka, ‘Dar, Kilimanjaro yaongoza kwa Viribatumbo’

April 1, 2023
Top Stories

Mfugaji aishukuru kampuni ya Asas, ‘Nasomesha wanangu, Asas ni msaada mkubwa kwetu’

April 1, 2023
Top Stories

Machinga wa Tegeta wafunguka ‘Usafi ni tatizo sokoni, tumepokea vifaa vya Milioni 5’

April 1, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?