Habari za Mastaa

Rapper Kanye West katuletea hii video mpya “Heaven and Hell”

on

Rapper kutokea nchini Marekani, Kanye West time hii ameachia video mpya ya wimbo wake uiwayo ‘Heaven and Hell’ uliopo kwenye album yake mpya ya Donda.

Video hii pia ilionyeshwa kupitia Channel ya mtandao mkubwa wa michezo nchini Marekani unaofahamika kama ESPN.

Katika video hiyo wameonekana watu wakiwa wamevalia masweta yenye brand yake inayojulikana kwa jina la “Yeezy Gap”.

Soma na hizi

Tupia Comments