Habari za Mastaa

Rapper Kanye West aingiza bidhaa mpya sokoni

on

Ni Headlines za Rapper Kanywe West ambae jana  katika kusheherekea siku yake kuzaliwa kufikisha umri miaka 44 alimua kuachia bidhaa za kwanza toka ushirikiano wake wa kampuni Yeezy Gap ambapo mkali  huyo ameingiza sokoni Jaketi za rangi ya blue ambazo anaziuza mtandaoni (online) kwa bei $200 (Fedha za kitanzania sawa na TSH=463,800/=

Unaambiwa ili kupata bidhaa hizo ni lazima uingie katika tovuti ya Yeezy GAP  ambapo inakulazimu kuweka taarifa zake kamili ndipo ufanya manunuzi bidhaa zao.

BIRTHDAY YA JOSEPH KUSAGA ATINGA CLOUDS NA FAMILIA YAKE, AOMBA WIMBO WA MBOSSO “NAUPENDA SANA”

Tupia Comments