Habari za Mastaa

Rapper Kanye West na Jay Z kuja na Album yao mwishoni mwaka huu

on

NI Headlines za wakali wawili wakongwe kwenye muziki wa Hip Hop, Jay Z na Kanye West ambapo time hii imeripotiwa kuwa album yao ‘Watch The Throne” itaingia sokoni rasmi mwishoni mwa mwaka huu.

Kwa mujibu wa Justin la Boy ambae ni mtu wa karibu wa Rapper Kanye West ametoa taarifa hiyo kupitia ukurasa wake wa twitter na kuandika..””Watch The Throne 2 Coming End of the Year. Kanye & Hov About to make history AGAIN. #Donda #Respectfully” ✍….#JustinLaboy“- Justine  La Boy

Kama wewe ni shabiki wa wakali hao kaa mkao wa tayari wa kupokea album hiyo mpya iliyopewa jina la “Watch The Throne

ULIMISS HII YA DIAMOND AUMIZWA NA MANARA KUONDOKA SIMBA AFUNGUKA YA MOYONI “NIMEUMIA”

KAJALA ASHINDWA KUJIZUIA AJIACHIA NA WIMBO WA EX WAKE, HARMONIZE AMPOST NA KUMUITA “SISTER

 

Soma na hizi

Tupia Comments