Habari za Mastaa

Rapper Wiz Khalifa atangaza kupona Corona

on

NI Headlines za Rapper kutokea nchini Marekani, Wiz Khalifa ambae hivi karibuni iliripotiwa kuwa ana ugonjwa wa Covid-19 (Corona), sasa mapya mengine ni kwamba staa huyo ametumia ukurasa wake wa twitter ametangaza kuwa amefanya vipimo vya mara ya pili vya ugonjwa huo na kutoona dalili zozote.

“My most recent test came back negative so im free of COVID”✍…..@wizkhalifa

DIAMOND PLATNUMZ USO KWA USO NA WIZKHALIFA, KUANDAA KOLABO YA PAMOJA..?

 

Tupia Comments