Top Stories

RASMI: Benki ya Dunia yaiweka Tanzania katika nchi zenye uchumi wa kati

on

Benki ya Dunia leo imeiweka Tanzania rasmi katika orodha ya nchi za uchumi wa Kipato cha Kati, ikiwa ni ni miaka mitano kabla ya lengo la Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025.

“WAFUKUZENI KAZI HAWAFAI WANATOZA HELA KUBWA” BASHUNGWA AAGIZA KWA SIMU

Soma na hizi

Tupia Comments