Michezo

Rasmi Cristiano Ronaldo anarudi Manchester United

on

NI Headlines za klabu ya Manchester United ambapo Agosti 27, 2021 imetangaza rasmi kuwa aliekuwa kiungo wa Juventus, Cristiano Ronaldo kurejea katika club yao baada ya leo mapema Mchezaji huyo kuwaaga wachezaji wa Juventus.

VIDEO MESSI ALIVYOTUA UFARANSA, KUANZA KUICHEZEA “PSG”, MASHABIKI WAJITOKEZA KUMPOKEA

Soma na hizi

Tupia Comments