Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: RASMI: Yanga yawasimamisha Ntibazonkiza na Ambundo waondolewa kambini
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 30, 2023
September 30, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 30, 2023
September 30, 2023
Waziri Dr Damas Ndumbaro na Rais TFF watinga AVIC Town kuzungumza na wachezaji wa Yanga SC
September 29, 2023
Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu
September 29, 2023
Ufanisi wa wataalamu waipaisha TBA
September 29, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Sports > RASMI: Yanga yawasimamisha Ntibazonkiza na Ambundo waondolewa kambini
Sports

RASMI: Yanga yawasimamisha Ntibazonkiza na Ambundo waondolewa kambini

May 26, 2022
Share
1 Min Read
SHARE

Club ya Yanga SC imethibitisha taarifa za kuwasimamisha kwa muda wachezaji wake Dickson Ambundo na Saido Ntibazonkiza kutokana na kutoka kambini na kurejea alfajiri kinyume cha sheria na matakwa ya kambi ya Yanga kuelekea mchezo wao wa nusu fainali ya Kombe la ASFC dhidi ya Simba SC.

“Kuna taarifa kwa sasa zinazagaa mitandaoni kuhusiana na wachezaji Saido pamoja na Dickson Ambundo, kweli wachezaji hao Kocha Nabi ameamua kuwasimamisha kwa wiki hii” >>> Haji Manara

“Baadae akija Dar es Salaam pamoja na Uongozi wataona nini kitakachoendelea ni kweli Saido na mwenzake mara baada ya mechi yetu dhidi ya Biashara waliondoka kambini na kurejea alfajiri, hivyo kitendo hicho kimemfadhaisha kocha na Uongozi wa club ya Yanga kwa ujumla hivyo wameamua kuwasimamisha”>>> Haji Manara

Yanga wapo kambini mjini Shinyanga kwa ajili ya mchezo wao wa nusu fainali ya ASFC dhidi ya Simba SC siku ya Jumamosi ya May 28 2022 katika uwanja wa CCM Kirumba Mwanza.

You Might Also Like

Waziri Dr Damas Ndumbaro na Rais TFF watinga AVIC Town kuzungumza na wachezaji wa Yanga SC

Reece James kurejea kikosoini hivi karibuni- Chelsea

Update ya afya ya Christopher Nkunku aonesha video kutokea gym…

Man Utd wamethibitisha kurejea kwa Antony kwenye shughuli za kikosi cha kwanza

Nahodha wa Bayern Neuer arejea mazoezini miezi 10 baada ya kuvunjika mguu

TAGGED: Soka bongo
Rama Mwelondo TZA May 26, 2022
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo May 26, 2022
Next Article “Ukiona nakukera niache tafuta mwingine” IGP Sirro
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 30, 2023
Magazeti September 30, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 30, 2023
Magazeti September 30, 2023
Waziri Dr Damas Ndumbaro na Rais TFF watinga AVIC Town kuzungumza na wachezaji wa Yanga SC
Sports September 29, 2023
Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu
Top Stories September 29, 2023

You Might also Like

Top Stories

Ufanisi wa wataalamu waipaisha TBA

September 29, 2023
Entertainment

Mohbad: Polisi wa Lagos wamkamata Sam Larry ahusishwa na kifo cha Mohbad

September 29, 2023
Sports

Reece James kurejea kikosoini hivi karibuni- Chelsea

September 29, 2023
Top Stories

Rais wa Urusi Vladimir Putin akutana na kamanda mkuu wa zamani wa Wagner Group

September 29, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?