AyoTV

VIDEO:Sababu za DC Jokate kutoa machozi mbele ya Miriam Odemba

on

NI Agosti 27, 2019 ambapo mwanamitindo Miriam Odemba aliefunga safari mpaka wilayani Kisarawe kwaajili ya kutoa msaada ya Peds box 100 mashule mbalimbali.

Sasa kabla ya kuanza shughuli hiyo mwanamitindo huyo alifika katika ofisi za Mkuu wa wilaya DC Jokate Mwegelo kueleza ujio wake pamoja na historia yake ya maisha hususani kwenye Elimu na kudai aliishia darasa la Saba.

Sasa miongoni mwa walioguswa na historia ya maisha ya Mwanamitindo huyo ni DC Jokate ambae alishindwa kuvumilia na kutoa machozi.

Itazame hii video hapa akieleza sababu za kulia mbele ya Mwanamitindo Miriam Odemba

JIONEE JINSI MWANAMITINDO MIRIAM ODEMBA ALIVYOMTOA MACHOZI DC JOKATE

Soma na hizi

Tupia Comments