Michezo

Ratiba ya soka kuanzia Tanzania hadi Ubelgiji kwa Samatta, hizi sio mechi za kukosa weekend hii …

on

Weekend ya February 13 na 14 ni siku ambazo burudani ya soka itaendelea kama kawaida, kuanzia bongo hadi Ulaya, kwa upande wa Tanzania katika Ligi Kuu bara kutachezwa jumla ya michezo saba, wakati kwa Ligi Kuu Uingereza na Hispania itachezwa michezo jumla ya michezo 19, kwa upande wa Ubelgiji klabu ya KRC Genk anayoichezea mtanzania Mbwana Samatta itacheza mechi yake dhidi ya W. Beveren Jumamosi ya February 13 katika uwanja wao wa nyumbani wa Cristal Arena saa 22:30 kwa saa za Afrika mashariki.

bongo

Mechi za Ligi Kuu Tanzania bara zitachezwa saa 16:00 zote za Jumamosi na Jumapili

Ratiba ya mechi za Ligi Kuu Uingereza 

vpl

Ratiba ya mechi za Ligi Kuu Uingereza kwa saa za Afrika Mashariki February 13

 • Sunderland Vs Man Utd Saa 15:45
 • Bournemouth Vs Stoke Saa 18:00
 • Crystal Palace Vs Watford Saa 18:00
 • Everton Vs West Brom Saa 18:00
 • Norwich Vs West Ham Saa 18:00
 • Swansea Vs Southampton Saa 18:00
 • Chelsea Vs Newcastle Saa 20:30

Ratiba ya Ligi Kuu Uingereza February 14 kwa saa za Afrika Mashariki

 • Arsenal Vs Leicester Saa 15:00
 • Aston Villa Vs Liverpool Saa 17:05
 • Man City Vs Tottenham Saa 19:15

Ratiba ya Ligi Kuu Hispania

laliga

Ratiba ya Ligi Kuu Hispania kwa saa za Afrika Mashariki kwa mechi za February 13

 • Real Madrid Vs Ath Bilbao Saa 18:00
 • Villarreal Vs Málaga Saa 20:15
 • Valencia Vs Espanyol Saa 22:30
 • Deportivo de La Coruña Vs Real Betis 00:05

Mechi za February 14

 • Real Sociedad Vs Granada CF Saa 14:00
 • Sevilla Vs Las Palmas Saa 18:00
 • Eibar Vs Levante Saa 20:15
 • Getafe Vs Atl Madrid Saa 20:15
 • Barcelona Vs Celta de Vigo Saa 22:30

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Tupia Comments