Weekend hii kutakuwa na muendelezo wa michezo kadhaa ya Ligi Kuu Tanzania bara ikiendelea pamoja na Ligi mbili kubwa zinazopendwa barani Afrika, Ligi Kuu Uingereza (EPL) na Ligi Kuu Hispania (Laliga). Michezo kadhaa itapigwa mtu wangu katika viwanja mbalimbali, nakusogezea karibu yako ratiba ya mechi za Ligi Kuu Tanzania, Uingereza na Hispania zitakazopigwa Jumamosi ya September 26 na Jumapili ya September 27.
Hii ni ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara mechi zote zitachezwa saa 16:00
Hii ni ratiba ya Ligi Kuu Uingereza
Hii ni ratiba ya Ligi Kuu Uingereza kwa saa za Afrika Mashariki September 26
- Tottenham Vs Man City saa 14:45
- Leicester Vs Arsenal saa 17:00
- Liverpool Vs Aston Villa Saa 17:00
- Man Utd Vs Sunderland saa 17: 00
- Southampton Vs Swansea saa 17:00
- Stoke Vs Bournemouth saa 17:00
- West Ham Vs Norwich saa 17:00
- Newcastle Vs Chelsea saa 19:30
Setember 27
- Watford Vs Crystal Palace saa 18:00
September 28
- West Brom Vs Everton saa saa 22:00
Hii ni ratiba ya mechi za Ligi Kuu Hispania
Hii ni ratiba ya mechi za Ligi Kuu Hispania kwa saa za Afrika Mashariki September 26
- Barcelona Vs Las Palmas saa 17:00
- Real Madrid Vs Málaga saa 19:15
- Sevilla Vs Rayo Vallecano saa 21:30
- Villarreal Vs Atl Madrid saa 21:30
- Eibar Vs Celta de Vigo saa 23:05
September 27
- Sporting de Gijón Vs Real Betis saa 13:00
- Deportivo de La Coruña Vs Espanyol saa 17:00
- Getafe Vs Levante saa 19:15
- Real Sociedad Vs Ath Bilbao saa 21:30
PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia kuanzia kwenye siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata, pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>YouTUBE