Michezo

Hii ndio ratiba ya robo fainali ya Champions league – Fahamu Man United imepangwa nani?

on

Manchester-United-Jersey-2013-2014-HD-WallpapersRatiba ya ligi ya mabingwa wa ulaya hatua ya robo fainali imetoka na ipo kama ifuatavyo

Barcelona v Atletico Madrid

Real Madrid v Borussia Dortmund

 Paris St Germain v Chelsea

Manchester United v Bayern Munich

Mechi kuchezwa April 1/2 na April 8/9 –

Tupia Comments