social network

Good news zilizonifikia kutoka kwa meneja wa Diamond kuhusu RayVanny

By

on

Leo April 17 nimezipokea taarifa nzuri kutoka kwa meneja wa Diamond Platnumz kuhusu msanii Raymond ‘RayVanny’ wa WCB kupata mtoto. Sallam alitumia ukurasa wake wa Instagram kumuandikia Rayvanny hongera kwa kupata mtoto.

“Hongera mwanangu @rayvanny kwa kupata mtoto (My Favorite Artist WCB) najua unatamani kuwepo kumuona mwanao ila fanya kazi Kijana wangu!!”>>>> Sallam Sk

RayVanny alitumia ukurasa wake wa Instagram kumpongeza mpenzi wake kwa kuwa mama kwa kuandika

“Hongera @fahyma_ Umekua Mama sasa Acha utoto ??? NAKUPENDA!!” >>> Rayvanny

Hongera @fahyma_ Umekua Mama sasa Acha utoto ??? NAKUPENDA!!

A post shared by Raymond (@rayvanny) on

Video: Babu Tale aliniambia nisitembee na Madee, niende Yamoto Band>>>

Video: VAA AFRICA: Moja kati ya maonyesho ya fashion yaliyofanyika Arusha 2017 >>>

 

Soma na hizi

Tupia Comments