Ni muda mrefu hatujamuona mwimbaji wa Bongofleva Rehema Chalamila maarufu Ray C lakini leo January 30 2017 alipata heshima ya kualikwa na kutumbuiza mbele ya Waziri mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa Dodoma.
VIDEO: Ray C alivyoimba mbele ya Waziri mkuu leo Dodoma

Leave a comment
Leave a comment