AyoTV

VIDEO: Mambo 9 ya Ray C baada ya kuchukuliwa na Polisi

on

Usiku wa June 16 kuamkia June 17 kuna video ya mwimbaji wa Bongofleva Ray C ilisambaa mitandaoni na kila mmoja kuzungumza habari tofauti kuhusu clip video hiyo, wapo waliosema Ray C kapata kichaa na mambo mengine mengi tu, nakusogezea mambo 9 ya kufahamu kuhusu Ray C baada ya kusambaa kwa video clip na yeye kuchuliwa na Polisi.

1- Polisi wamesema hawakumkamata Ray C bali walimpeleka hospitali kupatiwa matibabu

2- Ray C amepimwa hospitali wala hana kichaa ni mzima ana akili timamu.

3- Mkurugenzi wa uzalishaji na utafiti Clouds Media Ruge Mutahaba amethibitisha kuwa June 17 Ray amepelekwa Rehab Bagamoyo.

4- Rehab aliyopelekwa Ray C ni Bagamoyo mkoa wa Pwani, Rehab ambayo aliwahi kuishi Chid Benz wiki tano zilizopita.

Zaidi bonyeza PLAY mtu wangu

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments