Habari za Mastaa

Sababu za Raymond wa WCB kukaa na rasta ndani ya saa 16 kisha kuzinyoa

on

Ni Agosti 3, 2016 ambapo msanii kutokea WCB Raymond aliingia kwenye headlines baada ya kuchukua maamuzi ya kufunga rasta huku ikionekana kuwakwaza  mashabiki wake wakimtaka hakitoe

Staa huyo amekubali kuipata heshima millardayo.com & Ayo TV na kayangea haya…>>>>Unajua watu hawakuelewa sikuweka zile rasta kama ni style yangu mpya hapana niliziweka kwasababu ya kufanya photoshoot kwahiyo niliziweka kwa siku moja sasa jioni nikaambiwa niende kwenye event nikaenda nazo hivyo hivyo’- Raymond

Nimeona comments nyingi kuhusu rasta lakini naomba watu waelewe kwamba haikuwa style yangu na wala sina mpango wa kufuga rasta nitabaki na style yangu moja tu maana inaonekana jinsi nilivyowakwaza mashabiki wangu’- Raymond

Msikilize zaidi Raymond kwa kubonyeza play hapa chini.

ULIIKOSA HII YA DIAMOND ATAJA NGOMA ZAKE 5 ZINAZOKUBALIKA KIMATAIFA BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments