AyoTV

Video ya dakika 1 na sekunde 28 ya Ray C studio akirekodi wimbo mpya

on

Screen Shot 2014-04-12 at 4.07.15 PMNi kitambo toka Ray C kuonekana kwenye muziki mpya baada ya ukimya wa muda mrefu uliotokana pia na utumiaji wa dawa za kulevya ambao anakiri ulimrudisha sana nyumba kimaisha.

Legendary Music-Tanzania wanasema ‘mwanadada Ray C akiwa ndani ya Legendary Music Studio akirekodi moja kati ya nyimbo zake Mpya. It was a good experience working with such a Big Tanzanian and East African Female Artist. Stay tuned for more good music from Legendary Music-Tanzania’
[youtube youtubeurl=”uQNhNHQcSQQ” ][/youtube]

Tupia Comments