Videos

VideoMPYA: Tunakaribishwa kuitazama ‘Unanimaliza’ kutoka kwa Ray C

on

June 28 2017 kutoka Bongoflevani Mrembo wa longtime kutoka kwenye game ya Bongofleva Ray C leo anatualika mabibi na mabwana kuitazama video ya mdundo wake mpya ‘Unanimaliza‘ usisahau pia kuniachia comment yako hapa chini na mrembo huyu ataiona hapa.

Ulimiss hii Ray C alivyoimba mbele ya Waziri mkuu Majaliwa Dodoma leo itazama hapa chini…

Soma na hizi

Tupia Comments