Habari za Mastaa

Hiki ndicho alichosema Ray C kuhusu kukamatwa kwa Lord Eyez

on

Ray C and Lord EyezAliyekuwa mpenzi wa rapper Lord Eyez, mwanamuziki Rehema Chalamila aka Ray C amezungumzia kuhusu sakata la wizi linalomkabili rapper huyo ambaye ni member wa group la Nako 2 Nako Soldiers.

Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram Ray C amefunguka kama ifuatavyo:
20140304-184252.jpg

Tupia Comments