AyoTV

VIDEO: Rayvanny alivyoimba live jukwaani wimbo wa Diamond ‘kamwambie’

on

Rayvanny ni kipaji kingine WCB na Bongofleva wanajivunia kuwa nacho, kitazame kipaji chake kwenye Live aliyoifanya kwa kuimba wimbo wa ‘kamwambie‘ wa Diamond Platnumz kwenye FIESTA 2016 Muleba.

Ukishaitazama video yenyewe usisite kuacha comment yako kuelezea uwezo wake kwenye kuimba live na alivyoutendea haki ‘kamwambie’

ULIIKOSA HII YA GARI WCB WALILOMZAWADIA RAYMOND KWENYE BIRTHDAY YAKE? BONYEZA PLAY HAPA CHINI UTAZAME

ULIIKOSA HII? DIAMOND KAITWA TENA MAREKANI ILA HATOISAHAU HII YA MINNEAPOLIS…

Soma na hizi

Tupia Comments