on air with millardayo

On Air: ‘Babu Tale aliniambia nisitembee na Madee, Niende Ya Moto Band’ Rayvanny

on

kwenye On Air  With Millard Ayo mkali kutoka Bongoflevani Rayvanny alipita na Leo March 31 2017 nisingependa haya maswali aliyoulizwa Rayvanny yakupite ni kuhusiana na maisha yake ya Tip Top Connection, Ukaribu na Ya Moto Band na Sababu za kunyoa rasta zake.

Ulimiss hii’Ni kweli niliitwa kuhojiwa’ Ridhiwani Kikwete itazame hii video hapa chini…

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments