May 3, 2017 Mbunge wa Bukene Selemani Zedi alisimama bungeni kuieleza serikali ikiwemo Wizara ya Afya kuhusu ukosefu wa huduma ya X-Ray katika Wilaya ya Nzega ambayo imesababisha wagonjwa kukosa huduma za vipimo na matibabu.
VIDEO: Wizara ya Afya imeomba kutengewa Trilion 1.1 kama bajeti yake
BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo