Ad
Ad

AyoTV

VIDEO: ‘Miezi mitano sasa X-Ray haifanyi kazi wagonjwa wanateseka’- Selemani Zedi

on

May 3, 2017 Mbunge wa Bukene Selemani  Zedi alisimama bungeni kuieleza serikali ikiwemo Wizara ya Afya kuhusu ukosefu wa huduma ya X-Ray katika Wilaya ya Nzega ambayo imesababisha wagonjwa kukosa huduma za vipimo na matibabu.

VIDEO: Wizara ya Afya imeomba kutengewa Trilion 1.1 kama bajeti yake 

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments