AyoTV

AyoTV: Roberto wa ‘Amarula’ kaja Dar… katuambia jinsi Magufuli alivyochukua headlines Zambia

on

Mwimbaji staa wa single ya ‘AmarulahRoberto kutoka Zambia ameshawasili Dar es salaam kwa ajili ya kufanya show Escape one Mikocheni Dsm Dec 11 2015 na kisha Dodoma ambapo kwenye mahojiano yake pia amezungumzia jinsi alivyo na furaha ya kufanya show Dar es salaam kwa mara ya kwanza huku mara yake ya kwanza Tanzania ikiwa ni show aliyoifanya Mwanza.

Kwa upande wa headlines za Dr. Magufuli, Roberto amesema hata Zambia zimewafikia na vyombo vya habari vimekua vikimfatilia ambapo hata Rais wa Zambia amefanya mabadiliko kwenye serikali yake na media zimekua zikiripoti kwamba amefanya hivyo baada ya kujifunza alichofanya Magufuli, unaweza kutazama Interview yake hapa chini kwenye hii video.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FBYOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments