Top Stories

RC azuia magari ya mizigo yote yanayotoka Kenya kuingia “tumekuta 19 wana Corona” (+video)

on

Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martin Shigella ameagiza kuzuiwa kwa magari yote ya mizigo yanayotoka nchini Kenya kupitia Mpaka wa Hororo. Amesema haiwezekani madereva wa Tanzania wazuiwe kuingia Kenya, wakati wa nchi hiyo wanaingia Tanzania licha ya kuwa na corona.

 

Soma na hizi

Tupia Comments