Top Stories

RC Gaguti avunja Bodi na kumsimamisha kazi Meneja (+video)

on

Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jeneral Marco Gaguti amefanya ziara katika kiwanda cha kusindika kahawa TANICA na hajaridhishwa na kazi zinazofanywa na wasimamizi wa kiwanda hicho hivyo akaamua kuchukua maamuzi mazito juu ya watendaji hao ikiwemo kuvunja Bodi ya Kiwanda hicho.

UVUMILIVU UMEMSHINDA IGP SIRRO “WATANZANIA NIVUMILIENI TUNAPAMBANA NAO”

Soma na hizi

Tupia Comments