Mkuu wa Mkoa wa Iringa Queen Cathbert Sendiga amepiga marufuku mikusanyiko na kuwatimua Wananchi katika eneo la kuhifadhia maiti katika hospitali ya rufaa mkoani Iringa pindi wanapoenda kuchukua miili ya wapendwa wao kwa lengo la kuzuia maambukizi ya Covid 19.
Sendiga amepiga marufuku baada ya kufanya ziara ya kushtukiza katika eneo hilo na kukuta uwepo wa watu wengi wanaoingia katika eneo hilo bila kuchukua tahadhari na amesema wasizidi Watu wanne huku akielekeza ndugu kubaki nyumbani.
TAZAMA CHANJO YA UKIMWI YAANZA KUFANYIWA MAJARIBIO