Top Stories

RC Makonda aruhusu daladala kusimamisha wanafunzi (+video)

on

Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda amesema kuanzia leo Juni 2, 2020 daladala zianze kupakia Wanafunzi wanne watakaosimama na amewataka Askari wa Usalama barabarani kutozikamata daladala hizo.

Aidha, amesema kwamba agizo la daladala kubeba abiria idadi sawa na siti ‘level seat’ bado halijatenguliwa hivyo watakaokiuka amri hiyo wachukuliwe hatua na Askari wa barabarani.

“NIMEBAKWA NA WAUME WATATU SIKU YA HARUSI, NIKAMNG’ATA UUME, MUME WANGUA AKAFARIKI”

Soma na hizi

Tupia Comments