Top Stories

“Mnavamia magari yenye bunduki, mngekufa nisingetetea” RC Mbeya

on

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila amewasamehe wananchi wa Kijiji cha Mpunguti Wilayani Kyela walioushambulia kwa mawe msafara wa Mkuu wa Wilaya hiyo, Claudia Kitta huku akitaka walioko gerezani Sheria iendelee kuchukua mkondo wake hata kama watahukumiwa kunyongwa.

Ametoa msamaha huo alipofanya ziara ya kusikiliza kero za wananchi katika Kijiji hicho kilichopo katika Kata ya Makwale ambapo amewataka wasirudie kufanya kitendo cha aina hiyo kwa maelezo kuwa kitendo walichofanya kilikuwa kinahatarisha maisha yao pia.

VIONGOZI CCM WAGALAGALA CHINI KUMUOMBA MSAMAHA RC MCHAPA VIBOKO

Soma na hizi

Tupia Comments