Top Stories

RC mpya Arusha apokelewa kwa shangwe “nimekuja kwenye nafasi nyingine”

on

Mkuu wa Mkoa mpya wa Arusha Iddi Kimanta ameripoti ofisini kwake na kupokelewa na Wafanyakazi wa Ofisi hiyo ambapo amewataka wamuonyesha ushirikiano katika kutekeleza majukumu yake mapya.

TAZAMA STYLE ZA VIJANA WANAVYOCHEZA NA PIKIPIKI BILA WOGA ARUSHA “TUNAITA DEDE”

Soma na hizi

Tupia Comments