Top Stories

RC Mstaafu Maganga afariki “moyo ulifeli” (+ Audio )

on

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Brig.Jen Mstaafu Emmanuel Maganga amefariki Dunia wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Milambo Mkoani Tabora usiku huu, RC wa Tabora Dr. Philemon Sengati amethibitisha >>“moyo wake ulifeli, alikuwa na Kisukari na Presha, amefia Milambo Hospital Mkoani Tabora”

RAIS MPYA WA MAREKANI JOE BIDEN ALIVYOINGIA IKULU KWA MARA YA KWANZA NA MSAFARA WAKE, ULINZI MKALI

TAZAMA MSAFARA WA BIDEN ALIVYOENDA KUAPISHWA, WANAJESHI BARABARANI

Tupia Comments