Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: RC Mtwara ashukuru baada ya kupokea taulo za kike za Miliomi 5
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 27, 2023
March 27, 2023
Picha: Kutoka kwenye Usiku wa Malkia wa nguvu Mlimani City Hall DSM
March 26, 2023
Hhayuma afunguka uwepo wa Baraza la ardhi Hanang, ‘Nilitaka kushika Shilingi ya Waziri Bungeni’
March 26, 2023
Picha: Mfugaji akamilisha Mjengo wake, aishukuru Kampuni ya Asas kwa kufanikisha ndoto zake
March 26, 2023
Waziri Jafo acharuka, atoa maagizo Mbweni “Wachimba Mchanga, kamata gari, hatua zichukuliwe”
March 26, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > RC Mtwara ashukuru baada ya kupokea taulo za kike za Miliomi 5
Top Stories

RC Mtwara ashukuru baada ya kupokea taulo za kike za Miliomi 5

January 31, 2023
Share
3 Min Read
Wanafunzi Pamoja na wakuu wa shule kutoka shule 6 za msingi mjini Mtwara pamoja na uogozi wa mkoa wa Mtwara wakiwa kwenye hafla ya kusherehekea siku ya kumbukizi ya kuzaliwa Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania DKT. Samia Suluhu Hassan iliyofanyika katika uwanja wa Mashujaa, Mjini Mtwara.
SHARE

Kampuni ya Wentworth Gas Ltd, kupitia Taasisi ya Wentworth Africa Foundation Tanzania imetoa taulo 1,500 zenye thamani ya Shilingi milioni 5 kwa watoto wa shule za Mtwara ikiwa ni sehemu ya mpango wake wa uwajibikaji kwa jamii.

Akizungumza katika hafla hiyo mjini Mtwara, Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali. Ahmed Abbas Ahmed aliishukuru kampuni ya Wentworth Gas Ltd kwa msaada wao katika kuhakikisha wasichana wanabaki shuleni.

Meneja Mkazi wa Kampuni ya Wentworth Gas Ltd, Richard Tainton alisema kuwa kama sehemu ya mpango wa uwajibikaji kwa jamii wa Wentworth, wana programu mbalimbali za kusaidia sekta za Afya, Elimu na Mazingira katika eneo hilo.

‘Ninafuraha kuthibitisha kuwa kampuni ya Wentworth Gas kupitia Asasi ya Wentworth Africa Tanzania inaendelea kusaidia jamii ambazo tunafanya kazi kama sehemu ya mpango wetu wa kurudisha kwa jamii. Programu yetu inayoitwa “Keep a Girl in School” unawapa wasichana fursa ya kupata huduma salama na zinazofaa, kama vile vyoo, maji safi, mifumo ya kudhibiti taka na vifaa vya usafi wa hedhi” Meneja Mkazi Wentworth Gas Ltd, Richard Tainton

Wasichana ambao wanaweza kusimamia usafi wao wa hedhi na kubaki shuleni wana uwezekano mkubwa wa kumaliza elimu yao, ambayo inaweza kuwa na manufaa ya muda mrefu ya kiuchumi. Tunaendelea kushirikisha serikali katika ngazi zote ikiwa ni pamoja na jamii zenyewe ili kutambua na kuleta athari popote tunapoweza ili kuboresha maisha ya watu ‘- Meneja Mkazi Wentworth Gas Ltd, Richard Tainton.

Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe. Kanali Ahmed Abbas Ahmed (katikati) akipokea taulo za kike kwa ajili ya wanafunzi wa shule tisa za msingi mkoani Mtwara kutoka kwa Meneja wa huduma za Uwajibikaji kwa jamii wa Kampuni ya Wentworth Gas Ltd, Bi Neema Ndikumwami (wapili kulia) katika hafla ya kusherehekea siku ya kumbukizi ya kuzaliwa Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania DKT. Samia Suluhu Hassan iliyofanyika katika uwanja wa Mashujaa, Mjini Mtwara. (Kulia) ni Mkuu wa shule ya Msingi ya Kambarage Mtwara, Bi. Florence Magomba na (kulia wa tatu) ni Mkurugenzi wa FB Empowerment Bi. Fidea Bright. (Kushoto) ni Mstahiki Meya wa Manispaa ya Mtwara Mhe. Shadida Ndile.
Meneja wa huduma za Uwajibikaji kwa jamii wa Kampuni ya Wentworth Gas Ltd, Bi Neema Ndikumwani (wapili kulia) akimkabidhi mwanafunzi wa shule ya Kambarage taulo za kike katika hafla ya kusherehekea siku ya kumbukizi ya kuzaliwa Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania DKT. Samia Suluhu Hassan iliyofanyika katika uwanja wa Mashujaa, Mjini Mtwara.
Wanafunzi Pamoja na wakuu wa shule kutoka shule 6 za msingi mjini Mtwara pamoja na uogozi wa mkoa wa Mtwara wakiwa kwenye hafla ya kusherehekea siku ya kumbukizi ya kuzaliwa Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania DKT. Samia Suluhu Hassan iliyofanyika katika uwanja wa Mashujaa, Mjini Mtwara.

You Might Also Like

Picha: Kutoka kwenye Usiku wa Malkia wa nguvu Mlimani City Hall DSM

Hhayuma afunguka uwepo wa Baraza la ardhi Hanang, ‘Nilitaka kushika Shilingi ya Waziri Bungeni’

Picha: Mfugaji akamilisha Mjengo wake, aishukuru Kampuni ya Asas kwa kufanikisha ndoto zake

Waziri Jafo acharuka, atoa maagizo Mbweni “Wachimba Mchanga, kamata gari, hatua zichukuliwe”

Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Mwanza limefanya misa Takaridu ya Kumuombea Hayati JPM

TAGGED: TZA HABARI
Pascal Mwakyoma TZA January 31, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo January 31, 2023
Next Article “Tupambane na UKIMWI” Mkurugenzi UNAIDS
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 27, 2023
Magazeti March 27, 2023
Picha: Kutoka kwenye Usiku wa Malkia wa nguvu Mlimani City Hall DSM
Top Stories March 26, 2023
Hhayuma afunguka uwepo wa Baraza la ardhi Hanang, ‘Nilitaka kushika Shilingi ya Waziri Bungeni’
Top Stories March 26, 2023
Picha: Mfugaji akamilisha Mjengo wake, aishukuru Kampuni ya Asas kwa kufanikisha ndoto zake
Top Stories March 26, 2023

You Might also Like

Top Stories

Picha: Kutoka kwenye Usiku wa Malkia wa nguvu Mlimani City Hall DSM

March 26, 2023
Top Stories

Hhayuma afunguka uwepo wa Baraza la ardhi Hanang, ‘Nilitaka kushika Shilingi ya Waziri Bungeni’

March 26, 2023
Top Stories

Waziri Jafo acharuka, atoa maagizo Mbweni “Wachimba Mchanga, kamata gari, hatua zichukuliwe”

March 26, 2023
Top Stories

Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Mwanza limefanya misa Takaridu ya Kumuombea Hayati JPM

March 26, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?