Top Stories

RC Mwanajeshi aamuru Wakuu wa Shule na Injinia wakamatwe (+video)

on

Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jeneral Marco Gaguti amekagua miradi ya maendeleo katika Manispaa ya Bukoba ambapo amekerwa na baadhi ya Watendaji wa Serikali na Wakandarasi wanaotekeleza miradi ya ujenzi na ukarabati wa Shule maeneo hayo.

RC amemwagiza RPC Kagera Revocatus Malimi kuwakamata na kuwaweka ndani Mkuu wa Shule ya Sekondari Kahororo Omary Ogambage, Makamu Mkuu wa Shule ya Sekondari Bukoba Siasa Phocus, Mhandisi wa Majengo Manispaa ya Bukoba George Geofrey na Mhandisi wa Kampuni ya Muzinga Holding Company Festo Tarimo.

HII SHAHADA SIO YANGU NI YA WAKULIMA, WAFUGAJI NA WAVUVI FURAHIENI” JPM

Soma na hizi

Tupia Comments