Ukiwa umesalia mwezi mmoja mradi wa Ziwa Victoria unaogharimu Bilioni 602 kufika Mkoani Tabora, Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mkoa wa Tabora TUWASA imefanya ziara elekezi kwa Madiwani wa Manispaa ya Tabora ili kutoa elimu namna ya kuulinda mradi huo.
RC Mwanri akagua mradi wa BILIONI 602 na Madiwani ‘muondoe umbumbumbu” (+video)

Leave a comment
Leave a comment