Top Stories

RC Mwanri ang’ang’ania Watumishi “Siombi msamaha nadunda kama Tyson” (+video)

on

RC Mwanri ameendelea kutaka vyeti vya Wataalam wa Afya ikiwa ni siku chache baada ya kukuta vifaa tiba vimekaa kwa takriban miaka minne bila kutumika katika kituo cha Afya cha Kitunda Wilayani Sikonge

Akiwa katika baraza maalum la Madiwani Wilayani Uyui Mwanri amesema “Kuna Madaktari bingwa wako Urambo nataka upeleke wataalam wanapata malekezo lakini suala la vyeti liko palepable, nataka vyeti vyote”.

PART 2: “MSILIE MMESAHAULIKA KAENI KWENYE MSTARI, UKIONA HUWEZI ACHA” WAZIRI

Soma na hizi

Tupia Comments