Top Stories

RC Mwanri awabana watendaji akiwakabidhi vifaa vya Milioni 24 “ukiiba sukuma ndani” (+video)

on

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri amepokea vifaa vya ujenzi vya zaidi ya Milioni 24 kutoka kampuni ya ununuzi wa Tumbaku Mkoani humo ikiwa ni mchango wa kuinua kiwango cha elimu hasa kwa watoto wa kike wanaokabiliwa na mimba na ndoa za utotoni

Akikabidhiwa mchango huo na Mkurugenzi wa Uzalishaji wa Kampuni hiyo David Mayunga, RC Mwanri amesema “Yalifanyika maandamano makubwa sana juu ya hawa wanafunzi na Wakuu wa Wilaya mkiona mtu anaiba sukuma ndani”.

PART 2 ANAEIDAI TRA: ‘MUISRAEL’ HUYO, ASHTUKIA KUUAWA KWA SUMU, BENK ANA MAMILIONI

Soma na hizi

Tupia Comments