Top Stories

RC Tanga ageuka ‘Mfalme’ mpakani Hororo, malori ya Kenya stop (+video)

on

Mkuu wa mkoa wa Tanga Martine Shigela amepiga marufuku madereva kuendelea kupimwa kipimo cha ugonjwa wa Covid-19 katika mpaka wa Horohoro baada ya nchi jirani ya Kenya kuweka utaratibu wa kutovitambua vyeti vinavyotolewa na Madaktari wa Tanzania.

“STENDI SIO JESHINI MSIWARUSHE KICHURACHURA, ONDOA WAPIGA DEBE” RAIS MAGUFULI ATOA MAAGIZO MAZITO

Soma na hizi

Tupia Comments