Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: RC Makonda atangaza mapya kuhusu biashara ya dawa za kulevya DSM
Share
Notification Show More
Latest News
Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)
March 22, 2023
Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili
March 22, 2023
Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya
March 22, 2023
Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”
March 22, 2023
Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhuda wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’
March 22, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > RC Makonda atangaza mapya kuhusu biashara ya dawa za kulevya DSM
Mix

RC Makonda atangaza mapya kuhusu biashara ya dawa za kulevya DSM

February 2, 2017
Share
1 Min Read
SHARE

Leo February 2, 2017 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametoa taarifa ya uchunguzi wake kuhusu biashara ya dawa za kulevya kwenye jiji la Dar es salaam na kuwataja Askari Polisi 9 wanaotuhumiwa kuhusika au kujihusisha na wafanyabiashara wa dawa hizo.

RC Makonda amezitaka mamlaka za kijeshi kuwaweka chini ya ulinzi askari hao kwa mamlaka yake ili waweze kutoa taarifa kwanini dawa za kulevya bado zinaendelea kuwepo.

Ameyataja baadhi ya maeneo ambayo Wamiliki wake wamepewa vibali vya kufanya biashara lakini wanatumia maeneo hayo kinyume na masharti ya biashara kwa kuuza dawa ya kulevya ambapo amewataka kufika kituo kikuu cha polisi kesho saa tano na wasipofanya hivyo atawafata mwenyewe.

'Dar es salaam imekuwa ni lango la kupita na kupeleka madawa ya kulevya'- RC Makonda

— millardayo (@millardayo) February 2, 2017

'Tumekesha usiku tukifutilia biashara hii ya madawa ya kulevya tumekuta inafanyika hadharani'-RC Makonda

— millardayo (@millardayo) February 2, 2017

'Nimeamua kuingia kwenye hii vita kwa sababu najua Mungu ataniuliza, niko tayari kupoteza ukuu wangu wa mkoa'-RC Makonda

— millardayo (@millardayo) February 2, 2017

Mkuu wa mkoa wa DSM, Paul Makonda amewataja askari wasiopungua tisa ambao wanatuhumiwa kushirikiana na wafanyabiashara wa madawa ya kulevya pic.twitter.com/15SQSGVzVE

— millardayo (@millardayo) February 2, 2017

'Kuna maeneo watu wanatuambia madawa ya kulevya wanayapata sehemu hizo, wamiliki wake kesho niwakute polisi, wasipokuja nitawafuata'-Makonda pic.twitter.com/xGglHXZqfN

— millardayo (@millardayo) February 2, 2017

'Kama unajua una eneo unafanya biashara za dawa za kulevya DSM natoa siku 7 biashara hii iishe, operesheni hii naiongoza mwenyewe-RC Makonda pic.twitter.com/JgSRaqxyQy

— millardayo (@millardayo) February 2, 2017

'Kama Kamishna Sirro na timu yake watashindwa kutokomeza dawa za kulevya DSM maana yake wamekosa sifa za kuendelea kuwa askari'-RC Makonda

— millardayo (@millardayo) February 2, 2017

'Watano tayari nimeshawakamata na wengine nimewakamata wakiwa na dawa za kulevya' RC Makonda pic.twitter.com/B9c73mw2yB

— millardayo (@millardayo) February 2, 2017

RC Makonda amewataja wanaotuhumiwa kutumiwa dawa za kulevya wakiwemo TID, Wema Sepetu, Chid Benz, Recho, amewataka kesho wakutane polisi pic.twitter.com/Pfnev44pcz

You Might Also Like

Kamati ya Bunge ya Miundombinu imeridhishwa na ujenzi wa BRT

Waziri Mkuu awataka vijana na Wanawake kuchangamkia program ya IMBEJU

AudioMPYA: Joshua Ngelendo anakualika kusikiliza “Jemedari”

List ya Wasanii wakubwa watakaoimba Tamasha la Pasaka 2023

TCDC na Makakati kukuza biashara kidijitali

TAGGED: Dar es salaam NEWS
Edwin Kamugisha TZA February 2, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article AyoTV MAGAZETI: DC amgomea Waziri, Siri sekondari za Serikali kufeli
Next Article VIDEO: Mwigulu Nchemba kuhusu Wakuu wa Mikoa na wilaya wanaotumia Polisi
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)
Top Stories March 22, 2023
Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili
Top Stories March 22, 2023
Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya
Top Stories March 22, 2023
Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”
Top Stories March 22, 2023

You Might also Like

Top Stories

Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)

March 22, 2023
Top Stories

Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili

March 22, 2023
Top Stories

Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya

March 22, 2023
Top Stories

Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhuda wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’

March 22, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?