Top Stories

Tamko la RC Kagera juu ya vifo vya mfululizo vya madereva bodaboda

on

Leo May 17, 2018 Wananchi wa manispaa ya Bukoba mkoani Kagera wameingia katika hali ya sintofahamu baada ya madereva pikipiki maarufu kama bodaboda kuuawa mfululizo na watu wasiojulikana na wanaachiwa kila kitu walichonacho pamoja na pikipiki zao, hali hiyo inatokea majira ya usiku wanapokodiwa kupeleka abiria.

Akiongea na waandishi wa habari Mkuu wa mkoa wa Kagera Meja Jeneral Mstaafu Salum Kijuu amesema kuwa taarifa hizo wameshazipokea na inasemekana ndani ya wiki moja wameuawa madereva pikipiki watatu katika maeneo mbalimbali ya manispaa hiyo.

MAGAZETI LIVE: Ishu ya wanawake wenye Makalio, Nape, Bashe waamsha Dude

 

Soma na hizi

Tupia Comments