Top Stories

BREAKING: Mwili uliokandamizwa na jiwe siku tatu, mkono umeonekana (+video)

on

Leo March 27, 2019 Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Dkt. Philis Nyimbi ameongoza zoezi la kuutafuta mwili wa Ndalahwa Mashauri aliekandamizwa na jiwe wakati akichimba udongo mfinyanzi.

SAUTI ILIYOREKODIWA MEYA NA DIWANI WA CUF WAKIHAMIA CCM HUKO MTWARA

Soma na hizi

Tupia Comments