Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

Makonda atengua kauli ya DC wa Ilala “Kuwa makini hunipangii muda wa kusali” (+video)

on

RC Paul Makonda ametengua agizo la DC wa Ilala, Sofia Mjema aliyepiga marufuku ibada kufanyika katikati ya wiki, akisema ibada ni Ijumaa, Jumamosi na Jumapili. RC amesema wananchi waendelee na ibada bila kuvunja sheria, huku akiwasihi viongozi kuwa makini kwenye masuala ya dini.

RWAKATALE AZUNGUMZIA UPEPO WA KISULISULI “HIZI NI NGUVU ZA MUNGU”

Soma na hizi

Tupia Comments