Top Stories

RC Mwanri kaliaamsha dude “tembeza mkong’oto kichwa kilie kama ngoma ya daku” (+video)

on

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri ameshiriki mapokezi ya Kamanda wa Polisi katika hafla iliyoandaliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora ambapo amelitaka Jeshi  hilo kuhakikisha linaweka ulinzi wa kutosha kwa raia katika maeneo ambayo yanaviashiria vya uvunjifu wa amani.

“Tutawashinda hawa watu kutokana na uhalali wa vita vyenyewe watu wawili hawawezi kutusumbua tutatembeza mkong’oto juu ya kichwa kilie kama ngoma ya daku” RC Mwanri

ULIPOFIKIA USHAHIDI KESI YA VIONGOZI WA CHADEMA

Soma na hizi

Tupia Comments