Mix

Maneno ya Ridhiwani Kikwete kwenye picha na Freeman Mbowe

on

Mechi ya Yanga na Simba jana February 25 2017 ilikutanisha watu mbalimbali na hata wenye Nyadhifa za kisiasa kama Edward Lowassa, Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete na Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe ambao walikutana wakasalimiana.

Leo Ridhiwani Kikwete amepost picha ikimuonyesha uwanja wa taifa akionekana kumgusa Freeman Mbowe ili amsalimie ambapo kwenye caption ameandika “Kaka tusalimiane kidogo kwa afya ya Yanga”

ULIPITWA? Video yote ya kila akichoongea Steve Nyerere na kumwaga machozi kuhusu sauti ya simu iliyosambaa akiongea na Mama Wema Sepetu…… bonyeza play kwenye video hapa chini kupata kila kitu

“Unapotangaza Mtu aje Polisi saa 5, wewe ni nani? – Freeman Mbowe, Tazama FULL VIDEO hapa chini kumuona akiongea..

Soma na hizi

Tupia Comments