Michezo

Real Madrid wathibitisha Mariano kuwa na Corona

on

Club ya Real Madrid imethibitisha kuwa staa wao Mariano amepimwa na kukutwa na maambukizi ya virusi vya Corona.

Mariano kufuatia kupata kwake maambukizi ya Corona atajitenga kama kanuni za afya zinavyotaka lakini atakosa pia mchezo wa UEFA Champions League August 7 2020 katika uwanja wa Etihad England.

Mchezo huo wa hatua ya 16 bora ambao wa marudiano Real Madrid watalazimikankupata ushindi wa kunzia magoli mawili ugenini ili kusonga mbele baada ya mchezo wa kwanza kupoteza nyumbani kwa kufungwa 2-1.

Soma na hizi

Tupia Comments