Michezo

Mtazame Ronaldo akifunga magoli mawili kuipeleka Madrid fainali Copa Del Rey

on

Cristiano alifunga mabao mawili kwa mikwaju ya penati na kuiwezesha timu yake kushinda kwa mabao mawili dhidi ya Atletico Madrid.

Cristiano alifunga mabao mawili kwa mikwaju ya penati na kuiwezesha timu yake kushinda kwa mabao mawili dhidi ya Atletico Madrid ambapo kwenye game ya kwanza ya hawa mahasimu iliisha kwa Madrid kushinda 3-0.

Kabla ya kuitazama hii video hapa chini inabidi ufahamu kwamba Real Madrid wamefuzu kucheza fainali ya kombe la Copa Del Rey.


Atletico Madrid 0-2 Real Madrid

Tupia Comments