Michezo

Unaweza kuangalia mabao yote ya mchezo wa Real Madrid vs Bayern hapa

on

article-2616240-1D74CBB500000578-814_964x386Cristiano Ronaldo na Sergio Ramos jana usiku wameiwezesha klabu ya Real Madrid kutinga kwenye fainali ya UEFA Champions League baada ya kipindi cha miaka 12 – baada ya Real Madrid kuifunga Bayern Munich 4-0 kwenye mchezo wa pili wa nusu fainali uliopigwa kwenye uwanja wa Allianz Arena. Angalia video ya magoli hapo chini…..

Bayern Munchen vs Real Madrid 0 -4 Full… by elencrrist05

Tupia Comments