Michezo

Tazama magoli ya Ronaldo, Bale na Isco yalivyowazamisha Dortmund

on

814-real-madrid-vs-borussia-dortmund-game-poster-wallpaperReal Madrid jana waliweka mguu mmoja mbele kuelekea hatua ya nusu fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa wa ulaya baada ya kuifunga Borussia Dortmund 3-0 katika uwanja wa Santiago Bernabeu. Unaweza kuangalia video ya magoli hapa…..

Tupia Comments