AyoTV

VIDEO: Mbele ya Rais Magufuli Mrema ametangaza kuwajibika, wafungwa wapewe vibarua

on

July 23 2016 Rais John Pombe Magufuli amekabidhiwa rasmi nafasi ya uenyekiti wa chama cha mapinduzi CCM baada ya kupigiwa kura za ndio 2398 kutoka kwa wanachama wa chama hicho ambapo hakuna kura hata moja ya hapana wala iliyoharibika.
Moja ya washiriki katika kushuhuidia tukio hilo alikuwepo pia mwenyekiti wa TLP Augustino Mrema ambaye hivi karibuni aliteuliwa na Rais Magufuli kuwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Bodi ya PAROLE Tanzanian ambapo alipewa nafasi ya kuzungumza.

ULIIKOSA HII MANENO YA JK KWA WALIOSEMA CHAMA KINGEMFIA 

Soma na hizi

Tupia Comments